WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU.

[:en]Mkurugenzi wa Mazingira wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa William Mwegoha akimkaribisha Mgeni Rasmi kufungua warsha ya Wadau kwa ajili ya kupitia rasimu ya Ripoti ya hali ya Wachimbaji wadogo wa dhahabu iliyofanyika jijini Dodoma.[:]