Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960411.
Click on the thumb to view the photo

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Bw Said Shabani ambae ni Mwenyekiti Mwenza wa kikao cha Makatibu wa Kuu wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava Katika Kikao cha Mashirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava akiogoza Kikao cha Pamoja cha Makatibu wa Kuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kujadili changamoto za Muungano

«Back to the list of Albums