Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
Total site visits: 3711984.
Click on the thumb to view the photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Zimbabwe Mhe. Thokozani Khupe wakati Naibu waziri huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo, kwa ajili ya kumkabidhi ujumbe maalum wa Rais Kikwete kutoka kwa Rais wa Zimbabwe Mhe. Robert Mugabe unaoelezea juu ya maendeleo na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika miaka miwili ijayo Nchini Humo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Zimbabwe Mhe. Thokozani Khupe. Mhe. Khupe alifika Ofisi kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo, kwa ajili ya kumkabidhi Ujumbe Maalum wa Rais Kikwete, kutoka kwa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe unaoelezea juu ya maendeleo na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika miaka miwili ijayo Nchini humo.

«Back to the list of Albums