Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3712286.
Click on the thumb to view the photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu ulioongozwa na Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme hizo Dk. Reem Ibrahim Al Hashimy, wakati Ujumbe huo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo. kwenye mazungumzo yao walizungumzia juu ya umuhimu wa kukamilisha taratibu za kuundwa Tume ya pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Falme za kiarabu Ulioongozwa na Waziri wa Nchi wa Falme hizo Dk. Reem Ibrahim Al Hashimy, wakati ujumbe huo ulipokwenda Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dare s salaam leo. katika mazungumzo yao, walizungumzia juu ya kukamilisha taratibu za kuundwa Tume ya pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Mhe. Calrlos Soares Luz, wakati Balozi huyo alipokwenda Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo.

«Back to the list of Albums