Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3712276.
Click on the thumb to view the photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa Kamati ya Uongozi wa Bunge la Afrika Mashariki ulioongozwa na Spika wa Bunge hilo Nhe. Abdulrahman H. Abdi, wakati Ujumbe huo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiagana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Abdulrahman H. Abdi baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao, wakati Spika huyo alipoongoza Ujumbe wa Kamati ya Uoongozi wa Bunge la Afrika Mashariki kwenye mazungumzo hayo yaliyofanyika leo katika Ofisi ya Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Uoongozi wa Bunge la Afrika Mashariki ulioongozwa na Spika wa Bunge hilo Mhe. Abdulrahim H. Abdi wa pili kulua, wakati Ujumbe huo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya Mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na Msaidizi wa Makamu wa Rais Bw. Agostin Ngonyani pamoja na Viongozi wa Serikali kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam leo, alipokuwa akielekea Nchini Ufaransa na Ivory Cost. Kushoto Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal.

«Back to the list of Albums