Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3712278.
Click on the thumb to view the photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal katikati, akiwapungia mkono wananchi wa kijiji cha Busisi wakati alipokuwa akiteremka kutoka kwenye kivuko cha M.V Misungwi, alipowasili katika kijiji hicho leo kwa ajili ya kuanza ziara ya kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo ya wananchi wa Wilaya ya Geita
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kalangalala Wilayani Geita, baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa maabara ya Shule hiyo leo ambapo ameahidi kuchangia shilingi milioni tano kwa ajili ya kuanzisha kitengo cha mtandao wa intanet katika Shule hapo. Makamu wa Rais yupo Mkoani Mwanza kwa ziara ya kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendele
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilal, akisaliomiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kalangalala Wilayani Geita baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa maabara ya Shule hiyo leo, ambapo ameahidi kuchangia shiliongi milioni tano kwa ajili ya kuanzisha kitengo cha mtandao wa intanet katika Shule hapo. Makamu wa Rais yopo Mkoani Mwanza kwa ziara ya kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo.

«Back to the list of Albums