Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
Total site visits: 3712293.
Click on the thumb to view the photo

Wafanyakazi wakiandamana kuelekea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana, wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi). Sherehe hizo ziliadhimishwa kitaifa Mkoani Morogoro na kuhudhuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete.

Gari la Maliasili likipita huku likiwa na mapambo ya ngozi za wanyama wakali kama Chui na wengineo katika maadhimisho hayo.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiki (katikati) akiwa na baadhi ya viongozi wa wilaya ya Ilala jukwaa kuu wakati akipokea maandamano ya wafanyakazi katika sherehe hizo
Baadhi ya wafanyakazi wa ofisi ya Makamu wa rais wakiwa wamepumzika wakati wakisubiri kuingia katika viwanja vya Mnazi mmoja baada ya kuwasili mgeni rasmi Kamimu Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani, Mei Mosi zilizofanyika kwenye uwanja huo jana. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Wengine wakijifariji kwa kusoma magazeti wakati wakimsubiri mgeni rasmi kuingia katika viwanja vya Mnazi mmoja Dar es Salaam jana tayari kwa kuanza maandamano ya kupita mbele ya mgeni huyo rasmi.
Wafanyakazi wakiandamana kuelekea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana, wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi). Sherehe hizo ziliadhimishwa kitaifa Mkoani Morogoro na kuhudhuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakipita jukwaa Kuu huku wakishangilia na kufurahia, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana na kuhudhuliwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiki. Sherehe hizo zilifanyika kitaifa mkoani Morogoro ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya kikwete.
Wafanyakazi wa Tawi la Kampuni ya Tuico, wakipita mbele ya Jukwaa kuu na mabango yao yenye Ujumbe, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana na kuhudhuliwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiki. Sherehe hizo zilifanyika kitaifa mkoani Morogoro ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya kikwete
Mmoja wa wafanyakazi ambaye hakuweza kufahamika jina lake, akiwa bize kushona kitambaa cha uzi wakati akiwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi). Sherehe hizo zilifanyika kitaifa mkoani Mororgoro

«Back to the list of Albums