Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3711982.
Click on the thumb to view the photo

Makamu wa Rais Mhe. Dkt Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi Tunzo mwanamichezo bora wa mwaka 2010 Mwanaidi Juma wa JKT, kwenye tafrija iliyofanyika jana usiku katika hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhujri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi ufunguo wa Gari Mwanamichezo bora wa mwaka 2010 Mwanaidi Juma wa JKT katika tafrija iliyofanyika hoteli ya Movenpick Dar es salaam jana usiku. kushoto Waziri wa Michezo Dk. Emanuel Nchimbi

«Back to the list of Albums