Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3712285.
Click on the thumb to view the photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiagana na Msaidizi Mkuu wa Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Derhan Dogan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam, wakati Makamu wa Rais alipokuwa akielekea Nchini Turkish kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa nne wa Umoja wa Mataifa, utakaozungumzia juu ya Maendeleo ya Nchi masikini Duniani. Mkutano huo unatarajiwa kuanza jumaatatu ijayo mjini Istanbul. Katikati Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Mahadhi Juma Maalim.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiagana na Msaidizi Mkuu wa Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Derhan Dogan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam, wakati Makamu wa Rais alipokuwa akielekea Nchini Turkish kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa nne wa Umoja wa Mataifa, utakaozungumzia juu ya Maendeleo ya Nchi masikini Duniani. Mkutano huo unatarajiwa kuanza jumatatu ijayo mjini Istanbul. Katikati Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Mahadhi Juma Maalim.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Msaidizi wa Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Modest Mero, baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Ataturk jijini Istambul jana Mei 7, 2011. Makamu wa Rais yuko nchini Uturuki kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano wa Umoja wa Matifa unahusu maendeleo ya nchi maskini, Mkutano huo unaanza kesho na kumalizika Mei 13, 2011. Katikati ni Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Dkt. Mbaraka Lijohiy, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Ataturk, Istanbul Mei 7.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiongozana na mkewe Mama Zakhia Bilal na baadhi ya viongozi alioongozana nao baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Ataturk, Istanbul jana Mei 7, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 4 wa Umoja wa Mataifa kuhusu maendeleo ya nchi maskini. Picha kwa hisani ya Ofisi ya Makamu wa rais
006:- Makamu wa Rais, akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Mbaraka Ljohiy, ambaye ni Mkurugenzi wa Plastic , Reconstructive, Esthetic Had and Microsurgeory (kulia) na mfanyabiashara aishie nchini Uturuki, Ally Kilumba baada ya kukutana nao jana alipowasili jijini Instanbul, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 4 wa Umoja wa Mataifa kuhusu maendeleo ya nchi maskini

«Back to the list of Albums