Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
Total site visits: 3712291.
Click on the thumb to view the photo

Washiriki wa warsha ya kukuza weledi wa namna ya kukabiliana na kemikali haribifu kwa mazingira na viumbe kutoka mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Dar es Salaam na Tanga wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi aliyekaa katikati ambae ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Twariel Mchome, kulia kwake ni Mkurugenzi wa Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Dr. Julius Ningu na kushoto kwake ni Prof. Jamidu Katima kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Dr. Julius Ningu akifafanua jambo wakati wa ufunguzi wa warsha ya wadau ya kukuza weledi wa namna ya kukabiliana na kemikali haribifu kwa mazingira na viumbe kutoka mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Dar es Salaam na Tanga na kushoto kwake ni kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Twariel Mchome na pembeni yake ni Prof. Jamidu Katima kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Dr. Julius Ningu akiingia katika ukumbi wa mkutano jijini Arusha wakati wa ufunguzi wa warsha ya wadau ya kukuza weledi wa namna ya kukabiliana na kemikali haribifu kwa mazingira na viumbe akiwa ameambatana na Afisa mazingira kutoka ofisini kwake.
Afisa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Kaitira Bwire akichangia mada katika warsha ya wadau ya kukuza weledi wa namna ya kukabiliana na kemikali haribifu kwa mazingira na viumbe jijini Arusha leo na pembeni yake ni washiriki wengine katika warsha hiyo.

«Back to the list of Albums