Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
Total site visits: 3712271.
Click on the thumb to view the photo

Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiingia kwenye Ukumbi wa Mkutano, wakati aliwasili kwenye ukumbi huo kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Nchi masikini Duniani. Mkutano huo ulianza jana Mei 9 na unatarajiwa kumalizika Mei 13 mwaka huu, jijini Istanbul Uturuki. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais.
Makamu wa rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Mahadhi Maalim, walipohudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu nchi masikini, unaoendelea Jijini Istanbul, Uturuki. Mkutano huo ulianza jana Mei 9 na unatarajiwa kumalizika Mei 13 mwaka huu.

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Anna Tibaijuka, akiwa na Waziri wa Ofisi ya Rais Zanzibar, Dkt. Mwinyihaji Makame (katikati) na Mbunge wa Kigamboni, Dar es Salaam, Dkt. Faustine Ndugule, wakiwa ndani ya ukumbi wa mkutano wakati walipohudhuria mkutano wa umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya nchi masikini Duniani, unaoendelea jijini Istanbul, Uturuki. Mkutano huo ulianza jana Mei 9 na unatarajiwa kumalizika Mei 13 mwaka huu.
Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiwa katika chumba cha mkutano alipohudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu nchi masikini Duniani, unaoendelea jijini Istanbul, Uturuki. Mkutano huo ulianza jana Mei 9 na unatarajia kumalizika Mei 13 mwaka huu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiteta jambo na Balozi mdogo wa Tanzania nchini Italia, Salvator Mbilinyi, wakati wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa Istanbul, Uturuki walipohudhuria katika mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya nchi Maskini, ulioanza jana Mei 9, ukitarajiwa kumalizika Mei 13 mwaka huu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiteta jambo na Balozi mdogo wa Tanzania nchini Italia, Salvator Mbilinyi, wakati wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa Istanbul, Uturuki walipohudhuria katika mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya nchi Maskini, ulioanza jana Mei 9 na uitarajiwa kumalizika Mei 13 mwaka huu. Kulia ni Katibu wa Makamu wa Rais , Zahor Haji.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Msaidizi wa Shirika la Misaada la watu wa Marekani (USAID), Donald K Steinberg (wapili kulia) na ujumbe wake wakati walipokutana kwa ajili ya mazungumzo kwenye Ukumbi wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa uliofsnyika jijini Istanbul Uturuki kuhusu maendeleo ya Nchi Maskini Duniani. Mkutano huo ulianza jana Mei 9 na unatarajia kumalizika Mei 13 mwaka huu.

Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa mkutano wa Umoja wa Mataifa, ulioanza jijini Istanbul Uturuki Mei 9, ukitarajiwa kumalizika mei 13 mwaka huu. Mkutano huo unahusu Maendeleo ya nchi masikini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO), Jacques Diouf, wakati walipokutana kwa ajili ya kufanya mazungumzo kwenye Ukumbi wa Mkutano jijini Istanbul leo Mei 11. Makamu wa Rais Dkt Bilal, amemuwakilisha Rais wa Jakaya kikwete katika Mkutano wa Umoja wa mataifa kuhusu Maendeleo ya nchi masikini, unaoendelea jijini Istabunbul

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO), Jacques Diouf, wakati walipokutana kwa ajili ya kufanya mazungumzo kwenye Ukumbi wa Mkutano jijini Istanbul leo Mei 11. Makamu wa Rais Dkt Bilal, amemuwakilisha Rais wa Jakaya kikwete katika Mkutano wa Umoja wa mataifa kuhusu Maendeleo ya nchi masikini, unaoendelea jijini Istabunbul.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Anna Tibaijuka, wakati wakiwa ndani ya Ukumbi wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Nchi Masikini, unaoendelea jijini Istanbul, Uturuki. Mkutano huo unatarajia kumalizika Mei 13 mwaka huu.

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Anna Tibaijuka akibadilishana mawazo na baadhi ya washiriki nje ya Mkutano.

«Back to the list of Albums