Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3712287.
Click on the thumb to view the photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akitembelea mahema ya wahanga 80, waliopatwa na janga la kuchomewa nyumba zao na watu wasiojulikana eneo la Pwani Mchangani, ambapo hadi sasa idadi kubwa ya watu hao wanaishi katika mahema mawili yaliyojengwa eneo hilo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wahanga kati ya 80, waliopatwa na janga la kuchomewa nyumba zao na watu wasiojulikana eneo la Pwani Mchangani, ambapo hadi sasa idadi kubwa ya watu hao wanaishi katika mahema mawili yaliyojengwa eneo hilo.

«Back to the list of Albums