Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3712290.
Click on the thumb to view the photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nungwi, wakati alipofika shuleni hapo kwa ajili ya kuzindua vymba saba vya madarasa, wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali katika mkoa wa Kaskazini Unguja Mei 22.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akionyeshwa sehemu ya madawati yaliyotolewa msaada na wafadhili wa ujenzi wa vymba vya madarasa, wakati alipofika katika shule ya Sekondari Nungwi kuzindua Vyumba saba vya madarasa, akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali mkoa wa Kaskazini Unguja, Mei 22.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua Vyumba saba vya Madarasa ya Shule ya Sekondari Nungwi, kakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali mkoa wa Kaskazini Unguja Mei 22.
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Nungwi, wakionyesha umahiri wao wa kucheza ngoma ya Mchikicho, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Vyumba saba vya madarasa ya shule ya sekondari Nungwi, vilivyozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, jana Mei 22, wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali mkoa wa Kaskazini Unguja.

«Back to the list of Albums