Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3712275.
Click on the thumb to view the photo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akipata Maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Bw Nurdin Babu alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa kilwa Kuzinduwa Mradi wa Uhifadhi Misitu ya Ukanda wa Pwani
Waziri wa Nchi Ofisi wa Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akihutubia Wananchi Kwenye sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Uhifadhi Misitu ya Ukanda wa Pwani zilizofanyika Waliya ya Kilwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akiwaeleza wananchi wa Kilwa na Kumtoleamfano Bw Issa Ali Kipiteko Mkazi wa Mtama kwakupanda Miti Laki Tano

«Back to the list of Albums