Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3712282.
Click on the thumb to view the photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wenyeji wake mara baada ya kuwasili jijini Moroni Comoro
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais mpya wa saba wa Jamhuri ya watu wa Comoro Dkt. Iclilou Dhoinine, mara baada ya kuapishwa rasmi katika sherehe zilizofanyika jana Mei 26, katika Viwanja vya Bunge la nchi hiyo jijini Moroni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa zamani wa Comoro aliyemaliza muda wake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa Madagascar, Andrew Rajouline, wakati wa sherehe hizo
Rais mpya wa Comoro, Dkt. Iclilou Dhoinine,akiapishwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa pamoja na wageni mbalimbali walioalikwa katika sherehe hizo

«Back to the list of Albums