Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3712279.
Click on the thumb to view the photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dkt. Asha Rose Migiro, wakati katibu huyo alipomtembelea hitelini kwake jijini New York, jana Juni 10, 2011 na kufanya naye mazungumzo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wa nne kulia), mkewe Mama Zakhia Bilal (wa tatu kulia), Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Asha Rose Migiro (wa nne kulia) Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim (wa pili kulia) na mbunge wa Viti Maalum (CCM) Lediana Mng’ong’o (kulia). Kutoka (kushoto) ni Balozi wa Tanzania wa Umoja wa Mataifa, Ombeni Sefue, Naibu Waziri wa Afya , Sawere Nkya, Waziri wa Afya wa SMZ, Juma Duni Haji na Waziri katika Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais SMZ, Fatma Fereji, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo baina ya Makamu wa Rais na Naibu Katibu Mkuu Juni 10, 2011, New York.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dkt. Asha Rose Migiro, wakati katibu huyo alipomtembelea Juni 10, 2011 na kufanya naye mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dkt. Asha Rose Migiro, wakati katibu huyo alipomtembelea hitelini kwake jijini New York, Juni 10, 2011 na kufanya naye mazungumzo.
Picha za pamoja na baadhi ya viongozi wa Tanzania waliohudhuria mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Asha rose Migiro, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Hoteli Intercontinental, alipofikia Makamu New York, Juni 10, 2011. Kushoto ni mke wa Makamu wa Rais, Mama Zakhia Bilal.
Hapa pia Dkt. Asha Rose Migiro, akimkabidhi zawadi, Makamu wa Rais, Dkt. Bilal.

«Back to the list of Albums