Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3712274.
Click on the thumb to view the photo

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim, akimtunuku, Musiba Mshimba, aliyehitimu katika chuo hicho wakati wa maafali ya 9 ya chuo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo Novemba 19.
Baadhi ya wahitimu wakila kiapo wakati wa mahafali hayo walipokuwa wakitunukiwa vyeti.

«Back to the list of Albums